picture

WELCOME

Sunday, May 15, 2011

WALIFELI DARASA LA SABA HIVI SASA WANAUZA VITUMBUA hawa niwatanzania nguvu kazi ya nchi taifa la leo!!!!

NIWATOTO WAKITANZANIA wahitimu wa darasa la saba mwaka jana 2010 baada ya kukosa kuchaguliwa kwenda secondary hivi sasa wanauza vitumbua je? FAMILIA ZAO NAZO ZITAUZA VITUMBUA MIAKA IJAYO NA TAIFA LA TANZANIA LINAWATEGEMEA VIJANA KATIKA KULETA MAENDELEO JE? Tanzania itajengwa na wauza vitumbua!!??

No comments:

Post a Comment