picture

WELCOME

Thursday, February 3, 2011

HATA WATANZANIA WAKILA MAJANI NDEGE YA RAIS LAZIMA by Bazil pesambili mramba..!!....Ndege ya Rais aina ya Gulfstream 550

Ndege ya Rais aina ya Gulfstream 550..!!.HATA WATANZANIA WAKILA MAJANI NDEGE YA RAIS LAZIMA by  Bazil pesambili mramba..!!.Inauwezo wa kutua DAR, Mwanza, Zanzibar, KIA basi. Uwanja wa dodoma lazima uongezwe urefu ndo inaweza kutua.NDEGE aina ya Gulfstream 550 (pichani) iliyonunuliwa  na  serikali kwa Shilingi bilioni 40 kwa ajili ya  matumizi  ya  Rais  na kuleta utata na mjadala mkubwa miongoni mwa wananchi,Mara baada ya ndege hiyo kununuliwa enzi za utawala wa Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa kuliibuka malalamiko kutoka kwa wadau mbalimbali ambao walisema ilinunuliwa kwa fedha nyingi ambazo zingeweza kutumika kwa maendeleo ya taifa hususan ujenzi wa shule, hospitali nk lakini hoja hizo zilipuuzwa.

1 comment:

  1. hawa watu tuna usongo nao vibaya sana. wasubiri ya Tunisia na Misri yaeanza ndo watakoma ubishi

    ReplyDelete