picture

WELCOME

Sunday, May 15, 2011

ELIMU INAYO LIANGAMIZA TAIFA katoka shule kabaki nyumbani kuuza mifajio!!!

MITAALA MIBOVU inayo liangamiza taifa la tanzania huyu nimhitimu wa darasa la saba alikosa nafasi ya kuendelea na masomo ya secondary hivi sasa amejiajiri akiuza MIFAGIO je? kizazi cha huyu kijana kitaishije miaka ijayo NAMCHANGO WAKE KATIKA TAIFA HILILA TANZANIA niupi JE? anauwezo wa kupiga vita umasikini ujinga na maradhi!!??

No comments:

Post a Comment