picture

WELCOME

Monday, May 16, 2011

SIAMINI KAMA IPO SIKU WATANZANIA WATAFAIDI RASILI MALI ZA NCHI YAO YA TANZANIA!!!!!

BAJAJI 400 kwa waja wazito zitapunguza vifo vya kina mama na watoto!!?? MBONA MKE WA RAIS kikwete hutembelea V8 landcruser !!!
KERO YA MAJI TOKA uhuru hadi leo na halijapatiwa ufumbuzi wa kudumu UKOSEFU WA MAJI UMEVUNJA NDOA NYINGI  na kusababisha mimba zisizo tarajiwa!!!

MADARASA MAWILI KWA WAKATI MMOJA TENA CHINI YA MITI  mafanikio katika sekta ya elimu!!!MH Jk akimpa mtoto pipi

 no.commentNYUMBA YA RAIA WA TANZANIA MPIGA KURA NA MLIPA KODI !!
 nimeipenda hii baikeli kuliko bajaji za kubebea wajawazito!!


MGONJWA AKIWAHISWA HOSPITALI NA RAIA WEMA  najiuliza hivi nahawa watanzania walichagua mbunge na rais na diwani JE MBUNGE ANATEMBELEA GARI AU BAISKELI!!??
 MGONJWA AKIWAHISWA HOSPITALI NA RAIA WEMA  najiuliza hivi nahawa watanzania walichagua mbunge na rais na diwani JE MBUNGE ANATEMBELEA GARI AU BAISKELI!!??
BAJAJI KWA WAJA WAZITO!! WABUNGE NA MAWAZIRI V8 prince milioni 280!!??
SHIKAMO  marhaba mtoto mzuri chukua pipi Eee!!!

No comments:

Post a Comment