picture

WELCOME

Wednesday, February 16, 2011

Tanzania wananchi masikini viongozi matajiri KIONGOZI HUWEZI SEMA NCHI NI MASIKINI NAUNAGUSWA NA UMASIKINI WA WANANCHI WAKO huku wewe ukitumia ndege aina ya Gulfstream 550..yenye thamani ya bilioni zaid ya 40 namawaziri wako wakitumia V8 prince yenye thamani ya milioni 280 kwakila moja bado wabunge mashangingiya landcruisa ya milioni zaidi ya 80 shule mbovu dawahakuna HOSPITALINI umeme taabu DOWANS uchumi hovyo mfumkowabei juu..!!..

MAGARI YA AINA HII V8 PRINCE MOJA LIKIUZWA KWA BEI YA MILIONI 280 magari ya aina hii kwanchi masikini NIDHULUMA NA UNYONYAJI NA UBEBERU UBWANYENYE wanao fanyiwa watu watabaka la chini  kwenye nchi nyingi za kiafrica NAAMINI  MATUMIZI YA MAGARI HAYA YANAEPUKIKA NA FEDHA HIZI ZAKUNUNULIA MAGARI ZINAWEZA KUHAMISHIWA KWENYE MIRADI MINGINE YAMAENDELEO  tena  hata mawaziri wanaweza kusafiriswa kwa basi moja toka dar hadi dodo au kokote waendako kwajili ya shuguli za kiserekali VILEVILE  HATA WABUNGE WANAWEZA KUSAFIRISWA KWAKUTUMIA MABASI nasio kila mbunge anunuliwe gari lake dereva wake mafuta apewe HII NIDHULUMA umasikini wetu mtaji wao viongozi wabadhirifu..!!..

 HUWEZI SEMA UNAGUSWA NA UMASIKINI WA watanzania huku ukitumia V8 prince ya milioni 280 za kitanzania na mwingine akitumia ndege ya bilioni 40 ..!!..
 waheshimiwa wakishangaa nyumba zawapiga kura wao kana kwamba nimapango ya fisi NAPATA TAABU KUSEMA VIONGOZI WATANZANIA WANAGUSWANA UMASIKINI wawananchi wao ..!!..
 MAGARI YA AINA HII V8 PRINCE MOJA LIKIUZWA KWA BEI YA MILIONI 280 magari ya aina hii kwanchi masikini NIDHULUMA NA UNYONYAJI NA UBEBERU UBWANYENYE wanao fanyiwa watu watabaka la chini  kwenye nchi nyingi za kiafrica NAAMINI  MATUMIZI YA MAGARI HAYA YANAEPUKIKA NA FEDHA HIZI ZAKUNUNULIA MAGARI ZINAWEZA KUHAMISHIWA KWENYE MIRADI MINGINE YAMAENDELEO  tena  hata mawaziri wanaweza kusafiriswa kwa basi moja toka dar hadi dodo au kokote waendako kwajili ya shuguli za kiserekali VILEVILE  HATA WABUNGE WANAWEZA KUSAFIRISWA KWAKUTUMIA MABASI nasio kila mbunge anunuliwe gari lake dereva wake mafuta apewe HII NIDHULUMA umasikini wetu mtaji wao viongozi wabadhirifu..!!..

UMASIKINI UMEWATAFUNA WAZEE WETU AMBAO NDIO HAZINA YA TAIFA  wengine hufa wakiwa na halimbaya ya kimaisha njaa maradhi umasikini wakutisha makaazi duni hata sehemu ya kulala nimajunia na ngozi.NAUCHUKIA UMASIKINI HUU WAKUPANDIKIZWA na viongozi wasio waaminifu kwa taifa letu la tanzania.!!..

FIKA UJIONEE ndege zinavyo tua na kuondoka maeneo yanayo chimbwa dhahabu na wawekezaji nchini tanzania KISHA UFANANISHE NA WATANZANIA WANAO ISHI MAENEO YANAYO CHIMBWA DHAHABU HII NA wawekezaji najiuliza umasikini wa mtanzania upo wapina ninani chanzo je ipo siku utaodoka kabisa..!!??

1 comment:

  1. Nchi lazima iwe na mambo fulani, hata kama ni nchi masikini. Tatizo la umaskini wa Tanzania siyo jambo linaloweza kutatuliwa kwa urahihisi. Kwa mfano uchumi umekuwa kutoka $ 4.3bn mwaka 1990 kufikia $ 45bn 2015. Lakini idai ya watu imeongezeka kutoka millioni 24 mwaka 1988 had million 49 mwaka 2012. Kukua kwa uchumi ni jumuisho la kukua kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja. Je ni asilimia ngapi ya watanzania walikuwa na usafiri wa kifaa cha moto mwaka 1990 na ni asiliia ngapi leo? Kuna viashiria vya maendeleo ya kiuchumi na maendeleo ya kibinadamu ambayo yanaonyesha kuwa tumesonga mbele. Mjadala huu ni mkubwa.

    ReplyDelete