picture

WELCOME

Wednesday, January 26, 2011

WAZEE WETU NA JANGA LA UMASIKINI WAKUPANDIKIZWA.!!!

MZEE SIMANGO AKIWA NA MKE WAKE.nyumbani kwao huko mkoani singida ukitazama kwa makini huitajufafanuzi wazee hawa umasikini umewatafuna sana .!!


WANAWAKE TANZANIA NA VITA DHIDI YA UMASIKINI umasikini janga la kitaifa umasikini baba waujinga baba wa maradhi  UKIFIKA NCHINI TANZANIA UKAONA vivutio vya maliasili  mfano mbugaza wanyama milima madini mito bahari misitu UTAKOSA JIBU KWANINI WATANZANIA NI MASIKINI..!!..ujasiria mali nchini tanzania  MATUNDA kijana huyu akijitahidi kujikwamua kwakuuza matunda kwa wapita njia HII NDIO AJIRA YAKE ..!!..

No comments:

Post a Comment