picture

WELCOME

Tuesday, January 25, 2011

UMASIKINI TANZANIA NA MAISHA YA WATOTO WAMITAANI pamoja na WAZEE

Ajira kwawatoto hapa watoto hawa wakifanya biashara ndogo ndogo vipa dhidi ya umasikini VILIANZA SIKU NYINGI zaidi ya miaka 50 kabla ya uhuru..!!..

WATOTO WAMITAANI tatizo linalo kua kwakasi kwenye miji mikubwa  nchini Tanzania.!!.
 
Mzee huyu maarufu kwa kazi ya kuombaomba akijulikana kwa jina MATONYA tatizo la wazee wetu kuomba omba linakua siku hata siku ukifika jijini nairobi wazee wetu wenye ulemavu waaina tofauti ndio ombaomba wengi watanzania kuliko hata wakenya wengi wao wakitokea mikoa ya kanda ya ziwa mfano mara mwanza shinyanga..!!..
WATOTO WAMITAANI tatizo linalo kua kwakasi kwenye miji mikubwa  nchini Tanzania.!!.

WATOTO WAMITAANI tatizo linalo kua kwakasi kwenye miji mikubwa  nchini Tanzania.!!.
 WAZEE HAWA  kazi yao niombaomba ikiwa wazee ndio hazina ya vijana hasa kuwapa nasaha na maadili mema NCHINI TANZANIA UMASIKINI UMEWALA WAZEE kiasi cha kuitwa wachawi na wengi kuuawa kwaimani zakishirikina hasa kutokana na imanipotofu nchini tanzania hasa vijijini inaaminika kuwa wazee wenye macho mekundu huwa niwashirikina yaani wachawi.!!!..
Mtoto huyu aishie mitaani hapa akivuta gundi watoto hawa wamitaani huishi maisha magumu vishawishi vingi hivyo hujikuta wakitumia madawa ya kulevya  hufanya ukahaba wizi na kila aina ya uchafu .NAJIULIZA  KWANINI watoto hawa huongezeka mitaani badala ya kupungua

WATOTO WAMITAANI tatizo linalo kua kwakasi kwenye miji mikubwa  nchini Tanzania.!!.
WATOTO WAMITAANI tatizo linalo kua kwakasi kwenye miji mikubwa  nchini Tanzania.!!.

No comments:

Post a Comment