picture

WELCOME

Wednesday, January 26, 2011

KILIMO UTI WA MGOGO WA TAIFA LA TANZANIA NA UMASIKINI WAMKULIMA

Tanzania kama zilivyo nchi nyingi duniani kilimo ndio uti wamgogo wataifa hili laki kwatanzania nitofauti sana mkulima ndio masikini !!..kilimo bila nyenzo zakisasa pembejeo zakulimia dawa mbolea jembela mkuno  !!..
huyu akilima kwa trecta wengine jembe la mkono

trecta la mkono kwasasa hii ndio nyenzo iliopendekezwa itumike badala ya jembe la mkono SWALI JE ??. hadi sasa sera yakilimokwanza inatekelezwa vipi huku idadi kubwa ya watanzania wakitumia jembe la mkono ..!!.KILIMO KWANZA..familia hii kama ilivyo kutwa ikiwajibika shambani VITADHIDI YA UMASIKINI TANZANIA NA KILIMO CHA MKONO...!!...
HAYUPO anae ufurahia umasikini hata masai sikuhizi wanalima KILIMO KWANZA NA VITA DHIDI YA UMASIKINI mvua isipo nyesha imekula kwako hakuna mabwawa ya kuweza kukusaidia kumwagilia  !!.KILIMO CHA JEMBE LA MKONO na umasikini wamtanzania HAYUPO ANE UFURAHIA UMASIKINI  umasikini adui wakwanza nchini  tanzania akifatiwa na ujinga na maradhi..!!..


 HAPA NAKUMBUKA enzi hizo nikiwajibika kulima kwakutumia jembe la kukokotwa na ng'ombe..!!..kilimo hiki pia bado nikilimo duni kisicho weza kumkomboa mkulima huyu UMASIKINI TANZANIA NA KILIMO UTI WA MGONGO WA TAIFA..!!..
Mvua ikinyesha ya kutosha nifuraha kwawakulima mavuno yanaweza yakapatikana !!!..
KILIMO KWANZA kilimo cha mkono kilimo  kisicho weza kumkwamua mkulima kilimo cha mkono toka mkoloni hadi leo ...!!!..

No comments:

Post a Comment