picture

WELCOME

Tuesday, February 15, 2011

TANZANIA WATAALAMU wakifanya kazi zao na sio wanasiasa kufanya kazi zakitaalamu TANZANIA itasongambele Leo utasikia MIGOMO YA DALADALA KESHO MIGOMO YA MADAKTARI KESHO KUTWA MIGOMO YA WAHADHIRI MTONDOGOO MIGOMO YA WAFANYAKAZI RELI NA WAFANYAKAZI WAVIWANDANI MARA WATUMISHI WA SEREKALI.kilakukicha WANASIASA wanachafua TAALUMA.!."Mtu asiye makini katika mambo madogo madogo hawezi kuwa makini hata katika mambo makubwa."

 BIASHARA YA KUKUSANYA CHUPA hii niajira tanzania..!!..
BIASHARA YA MKAA NA KUNI ZA KUPIKIA huyu nae amejiajiri hii ndio kazi yake MAISHA HAYANA KANUNI ..!!..
YOTE NJAA KAMA KINAVYO SOMEKA  chombo kilicho beba samaki za huyo mama UMASIKINI haukubaliki ..!!..
FOLENI YA CHAKULA jiulize asilimia %50ya watanzania niwatoto chini ya miaka 18 je ? wote wanakula wanashiba..!!..
UGALI HUU NIMAARUFU SANA MIKOA YA KANDA YA ZIWA  UGALI WAMTAMA NA UDAGA..niwangapi wanakula na kushiba tanzania..!!..

BIASHARA NDOGO NDOGO vitadhidi ya umasikini ..!!..
 
MIMI NIMESOMESHWA KWA KILIMO, NAKIHESHIMU SAAANA KILIMO CHA JEMBE.LA MKONO.itakua vipi wakulima wakigoma!!.

NAFURAHIA MAZAO YA mifugo kama nyama maziwa samadi ngozi na pembe lakini sio watanzania wote wanayamapa mazao haya ya mifugo na kuyatumia ipaswavyo kutumika ..!!..

IPTL RICHIMOND SONGAS DOWANS .!!.
"Mtu asiye makini katika mambo madogo madogo hawezi kuwa makini hata katika mambo makubwa."
.NGUZO ZAUMEME shamba lipo mafinga nchini tanzania lakini hivi sasa mtanzania anatakiwa kulipia nguzo moja Tsh zaidi ya milioni moja ili kuweka umeme au kupata nishati ya umeme mita ya umeme zaidi ya laki nne zakitanzania najiuliza umeme nilini hautakua anasa badala yake umeme iweni bidhaa ya kutumika na kila mtu nchini tanzania nirahisi kumiliki kireti za bia sio rahisi kumiliki umeme au elimu bora na huduma nzuri za afya ..!!.."No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people."
Julius Kambarage Nyerere

NILINI NYUMBA ZAAINA HII zitajengwa kama sehemu ya starehe ya mtu na sio makaazi ya watu masikini UMASIKINI WA WATANZANIA UNANI KERA NA KUNIUMIZA moyo wangu Eeemungu nifanye kuwa chombo cha mabadiliko katika nchi yangu ya tanzania NIONDOE UMASIKINI UJINGA NA MARADHI..!!..
WAKAAZI WAMWANZA WALIPO UMBANA NA ADHA YA USAFIRI BAADA YA DALADALA KUGOMA wakidai nauli iongezeke kutoka 250 hadi miatatu 300 kweli tanzania sasa nibalaa kila kona migomo NIISHARA YA KUUKATAA UMASIKINI hata askari wa usalama bara barani hawakuweza kuzuia watu kupanda gari kama hili nililo panda mimi jana baada ya kukosa usafiri jijini mwanza .NAJIULIZA ITAKUWAJE SIKU WAKULIMA WA JEMBE LA MKONO WAKIGOMA KULIMA MASHAMBA YAO NCHI TANZANIA njaa haitaliangamiza taifa hili ikiwa UMEME tu NA MAJI TUMESHINDWA kuyapatia ufumbuzi.!!.                                                                                                                                                WAKAAZI WAMWANZA WALIPO UMBANA NA ADHA YA USAFIRI BAADA YA DALADALA KUGOMA wakidai nauli iongezeke kutoka 250 hadi miatatu 300 kweli tanzania sasa nibalaa kila kona migomo NIISHARA YA KUUKATAA UMASIKINI hata askari wa usalama bara barani hawakuweza kuzuia watu kupanda gari kama hili nililo panda mimi jana baada ya kukosa usafiri jijini mwanza .NAJIULIZA ITAKUWAJE SIKU WAKULIMA WA JEMBE LA MKONO WAKIGOMA KULIMA MASHAMBA YAO NCHI TANZANIA njaa haitaliangamiza taifa hili ikiwa UMEME tu NA MAJI TUMESHINDWA kuyapatia ufumbuzi.!!..

No comments:

Post a Comment