picture

WELCOME

Sunday, February 6, 2011

MAISHA BORA KWA KILA MDANGA NYIKA .kwa...kasi zaidi nguvu zidi ari zaidi..

Mzee huyu fundi viatu akiwa kalala sijui ninjaa au nimawazo maisha magumu na hajapata mteja wakushona ndara au kiatu HUYU NIASKARI MPIGANAJI AKIPIGAVITA UMASIKINI UJINGA NA MARADHI silaha anayo tumia ni kushona viatu kama inavyo onekana kwenye picha hapo..!!..

SHIDA YA MAJI NDUGU ZANGU imesababisha baadhi ya ndoa kuvunjika hasa kutokana na upatikanaji mgumu wamaji maji pia yameathiri maisha ya familia nyingi kutokana wanawake kutumia mdamwingi kutafuta maji kuliko kufanya shuguli za kimaendeleo UMASIKINI NIJANGA LA KITAIFA NCHINI TANZANIA..!!..

No comments:

Post a Comment