picture

WELCOME

Friday, January 28, 2011

VITA VYA UMASIKINI TANZANIA hakuna kanuni kila mtu na silaha yake..!!...

Kijana huyu ajulikanae kwajina la Philipo nimfanya biashara mwenye mtaji mdogo, maarufu kama machinga,anafamilia ya mke na watoto watatu na kazi yake nikuuza bisi au maarufu kama popcorn ALINIAMBIA ALIPITAPITA SHULE KIDOGO lakini elimu yake haimusaidii ..UMASIKINI tanzania..!!..

Mama maria akiuza ndizi ilikutunza familia mume nimlinzi ano watoto watano ALINIAMBIA MAISHA NIMAGUMU KWELI toka wafike jijini mwanza 1996.hadi leo hawajafanikiwa hata kununua kiwanja cha kujenga nyumba anaishi nyumba ya kupanga ya chumba na sebule watoto wakilala sebuleni wakike kwa wakiume KWELI UMASIKINI HAUNA ADABU..!!..
UKIWA NA HAMYA KULA SAMAKI KAMA HAWA ITAKULAZIMU utenge tsh=5000 hadi tsh=3500 samaki waaina hii niadimu mwanza na bei yake nigali sana nifamilia chache zinamudu kununua kitoweo hiki
UMASIKINI umeathiri hata lishe..!!..

WANAWAKE NA MAENDELEO biashara ndogo ndogo ilikutunza familia zao NIVITA DHIDI YA UMASINI nikujishugulisha bora mkono uendekinywani..!!..

No comments:

Post a Comment