picture

WELCOME

Saturday, January 29, 2011

NIUMASIKINI NDANI YA NCHI YENYE UTAJIRI WAKUTISHA DUNIANIHUYU NI MHITIMU WA DARASA LA SABA NCHINI tanzania hii ndio ajira yake inayo mpa kipato chakila siku..!!..
Hebu angalia kiatu alichovaa huyu mtanzania kweli umasikini tishio kwajamii ya kitanzania VITA DHIDI YA UMASIKINI VILIANZA MIAKA MINGI HATA KABLA YA UHURU WATANGANYIKA najiuliza mbona nimiaka mingi sasa toka kuumbwa kwadunia watu hawakuwahi kuishi kwa usawa hapa duniani wakati wengine wakishiba wengine wanalala njaa je huu nimpango wamungu kuwepo kwa tabaka lachini na tabaka lakati na la juu UMASIKINI JANGA LA KUPANDIKIZWA TANZANIA.!!..

KIJANA AKIWAJIBIKA KAZI MAANA YAKE NIKAZI YOYOTE INAYO WEZA KUMPA MTANZANIA KIPATO KWAJIA YA HALALI HAKUNA KANUNI YA MAISHA NCHINI TANZANIA elimu ya darasa la saba haina nafasi tena kupata kazi nzuri au kukufikisha popote tanzania  vijana sikuhizi wakisema SHULE NIMEPITAPITAKIDOGO LAKINI ELIMU HAINISAIDII KITU.!!..umasikini tanzania janga la kupandikizwa na mfumo mbovu wa elimu..!!..
mfumo mbovu wa elimu uliopandikiza umasikini miongoni mwa watanzania VIONGOZI WAKIISHI KAMA WAFALME WANANCHI MASIKINI nchi tajiri wananchi masikini SIASA INACHEZWA NDANI YA UMASIKINI WA WATU..!!..
HEBU ANGALIA MALIASILI YA TANZANIA 
HEBU ANGALIA MALIASILI YA TANZANIA 
HEBU ANGALIA MALIASILI YA TANZANIA 
HEBU ANGALIA MALIASILI YA TANZANIA 
HEBU ANGALIA MALIASILI YA TANZANIA 
 HEBU ANGALIA MALIASILI YA TANZANIA 

HEBU ANGALIA MALIASILI YA TANZANIA 


UMASIKINI WA MTANZANIA UNATOKA WAPI ..!!..

No comments:

Post a Comment