picture

WELCOME

Monday, January 24, 2011

VITA DHIDI YA UMASIKINI NA HISTORIA YA WAKOLONI.!!.

MTI HUU UNAO ONEKANA HAPA NDIO KILICHO KUA KUTUOCHA KUNYONGEA MABABU ZETU  KIPINDI CHA UTAWALA WAMJERUMANI  MTI HUU UPO MWANZA NYERERE ROAD KARIBU NA BENK KUU TAWI LA MWANZA...!!...

VITADHIDI YA UMASIKINI HAPA VIJANA HAWA WAKITANZANIA WAKIWA WAMEJIAJIRI KWA KAZI YA KUENDESHA PIKIPIKI  AJIRA HII KWASASA TANZANIA INACHUKUA VIJANA WENGI KILA KUKICHA .. !!..

 umasikini hadi soksi zamitumba .....!!!.....
JENIHALALI WATANZANIA KUVAA SOKSI ZA MITUMBA UMASIKINI HUU  kweli tishio..!!??


CHUPI ZAMTUMBA BURUNDI ZIMEPIGWA MARUFUKU  HAZIRUHUSIWI KUINGIA NA KUUZWA ...tanzania toka enzi za mwalimu hadi leo chupi zamtumba zikingalipo zikiuzwa JE ?? watanzania nimasikini kiasi chakuuziwa chupiza mtumba??HAPA NIMLANGO MMOJA JIJINI MWANZA WATU WAKICHANGUA NGUO ZA AINA MBALIMBALI ZIKIWEMO CHUPIZA MTUMBA SOKSI ZA MTUMBA NA SHIMIZI SINDIRIA  SKENTAIT  MASHATI SURUALI je?? watanzania hawezi kumudu kunua nguo mpya miaka 50 yauhuru?

HAPA NIMLANGO MMOJA JIJINI MWANZA WATU WAKICHANGUA NGUO ZA AINA MBALIMBALI ZIKIWEMO CHUPIZA MTUMBA SOKSI ZA MTUMBA NA SHIMIZI SINDIRIA  SKENTAIT  MASHATI SURUALI je?? watanzania hawezi kumudu kunua nguo mpya miaka 50 yauhuru?


SAFARI NISAFARI hapa mlemavu huyu mwanamke akiwa kabebwana MSUKUMA TORORI akisafiri mwendo wakilometa mbili kwausafiri HUU msukuma toroli akipata ujira kwakubeba mlemavu KWELI HAPA UMASIKINI BADO TISHIO hadi leo miaka 50 ya  uhuru bado vyombo vya usafiri na miundombinu haijamkumbuka mlemavu !!!..

No comments:

Post a Comment