picture

WELCOME

Tuesday, January 25, 2011

UTAJIRI WAASILI WA NCHI YATANZANIA NA UMASIKINI WA KUPANDIKIZWA


 MBUGA ZAWANYAMA TANZANIA  NIMOJA YA MALIASILI ADIMU DUNIANI NIKWANCHI CHACHE SANA DUNIANI mbuga zawanyama NIUTAJIRI NDANI YA masikini !!


MISITU NA NYUKI NIMOJA YA UTAJIRI MKUBWA  nchini tanzania!!  wadudu hawa nijamii ya viumbe waajabu wao huishi kwakukusanyika pamoja!!

 MBUGA ZAWANYAMA TANZANIA  NIMOJA YA MALIASILI ADIMU DUNIANI NIKWANCHI CHACHE SANA DUNIANI mbuga zawanyama NIUTAJIRI NDANI YA masikini!!


HIZI NINYUMBA ZA WAKAAZI WA MWANZA MILIMANI NYUMBA HIZI duni ndio picha halisi ya makaazi duni jijini mwanza  mlima huu ukijulikana kama SAHARA  kwaupande mwingine pakiitwa IGOGO 


USAFIRI WA BAISKELI ALIMAARUFU daladala usafiri huu nimaarufu sana kanda ya ziwa hasa shinyanga tabora kagera mwanza mara..HIVI NIVITA DHIDI YA UMASIKINI  tanzania vita hivi vimedumu sasa nimiaka mingi bila ya mafanikio ya kutosha VIJANA HAWA NINGUVU KAZI YA TAIFA ISIO TUMIKA IPASAVYO!!

SIJUI NINYUMBA YA KUISHI AU KIVUTIOCHA UTALII AU NYUMBA YA MGANGA !!!

UKITAKA KUSAFIRI KWENDA VISIWANI NDANI YA ZIWA VICTORIA  chombo kama hiki ndio husafirisha watu NIHATARI LAKINI watu hasakwajili ya kupiga vita umasikini ZIWA VICTORIA NIMOJA YA UTAJIRI WA TANZANIA!!!

No comments:

Post a Comment