picture

WELCOME

Thursday, January 20, 2011

VIPAJI NA ELIMU YA TANZANIA


Vipaji tanzania havina nafasi kabisa Tanzania vipaji haviendelezwi niharamu hebu watizame watoto hawa Elimu isioendeleza vipaji taifa lisilo na wagunduzi wa fani mbali mbali.!!.Umasikini wa nchi ya tanzania bado umejikita kwenye mfumo unao tumika kutoa elimu kwa watanzania na elimu yenyewe bado nitegemezi elimu isio mkomboa mtanzania wa kawaida mazingira mabovu ya kupatia elimu ukosefu wa walimu wakutosha vifaavya kufundishia na kujifunzia,

No comments:

Post a Comment