picture

WELCOME

Thursday, January 20, 2011

SHULE ZETU NA MAUDHUI YAKE NCHINI TANZANIAHAWA NIWANAFUNZI WA SHULE YA St joseph ya tanzania mazingira ya kujifunzia safi kila kitu kipo vitabu walimu madarasa vyoo nyumbazawalimu SHULE ZA SEREKALI HAIWEZEKANI ZIKAWA HIVI ??
HILI NIDARASA LA KWANZA KAMA WALIVYO NASWA NA MPIGA PICHA HUKO NGORONGORO UMASAINI jamii hii ya wafugaji ambao nimasai maisha yao ya kuhama hama je ndio kiini cha kukosa ELIMU je wanahitaji elimu?? nashule kama hii inawalimu au ni mila na desturi !!
HII NDIO HALI HALISI YA BAADHI YA SHULE ZA MSINGI TANZANIA mazingira mabovu ya kujifunzia majengo yamezeeka vyoo hakuna vya kutosha nyumbaza walimu shida vitabu hakuna vya kutosha na kila kanda na vitabu vyake vya kujifunzia kila waziri na mitaala yake ELIMU HAINA DIRA kwa watanzania

No comments:

Post a Comment