picture

WELCOME

Saturday, January 22, 2011

TANZANIA UTAFUTAJI AU AJIRA HAKUNA KANUNI KILA MTU NA AJIRA YAKE

Mwanamke huyu sio mwizi nimfanya biashara ndogo ndogo maarufu kama machinga  hapa akikabiliwa na mgambo wajiji la Dar
Kazi ni kazi hapa kija huyu akiwajibika kutembeza kofia biashara hii ndio inayo muingizia kipato
VITA DHIDI YA UMASIKINI  !!
Mwanamke huyu sio mwizi nimfanya biashara ndogo ndogo maarufu kama machinga  hapa akikabiliwa na mgambo wajiji la Dar

Vita dhidi ya umaskini polisi pia wakiwakamata wafanya biashara wenye mitaji midogo midogo maarufu kama machinga wauzanguo




Vita dhidi umasikini  na wanawake tanzania
Mimi nilisoma kwa pesa alizo kua mama akipika na kuuza vitumbua wewe je??


Mama ntilie wakiandaa chakula
Hivi nivita dhidi ya umasikini tanzania



Mishikaki au maarufu kama nyama choma hii nayo nimoja ya ajira kwavijana wengi hasa mijini  
Vitadhidi ya umasikini tanzania !!

mama ntilie akipika ugali wasembe ilikuwauzia chakula wateja wake mazingira ya kuandalia biashara hii sio mazuri kwajili ya maandaizi ya chakula lakini kama ilivyo ada ya  tanzania kila mtu anajaribu kumpinga ADUI UMASIKINI vita hivi vimedumu sasa miaka mingi tanzania bila ya mafanikio ya kutosha  kila kukicha heri ya jana!!


Safari ni safari  wakaazi hawa wamkoani shinyanga vijijini wakisafiri baada ya kukosa usafiri wagari umasikini sinyanga bado nitatizo sugu pamoja na almasi kuchimbwa shinyanga Tanzania



watanzania hawa wakifanya kazi kwabidii ilikupiga vita ADUI UMASIKINI  kazi  ni  kazi

No comments:

Post a Comment