picture

WELCOME

Friday, January 21, 2011

PUNDA MILIA NA TEMBO WAKIWA MBUGANI SERENGETI

NAJIVUNIA  NCHI YANGU TANZANIA ina kila aina ya vivutio kama hawa wanyama watu husafiri na kuja tanzania kutembelea mbuga hizi na hivyo taifa kupata fedha nyingi za kigeni,NAJIULIZA UMASIKINI WA MTANZANIA UPO WAPI?

No comments:

Post a Comment