picture

WELCOME

Friday, January 21, 2011

KWANINI NYERERE HAKUPENDA KUJIKWEZA AU UFAHARI ??

MAJENGO YA SHULE YA MWISENGE ALIO SOMA NYERERE ELIMU YA MSINGI PRIMARY SCHOOL !!
 
NYUMBA ZA WALIMU SHULE YA MWISENGE MKONI MARA SHULE ALIO SOMA NYERERE majengo yamechakaa !!
SHULE YA MSINGI MWISENGE WIYAYANI MUSOMA MJINI MKONIMARA ALIKO SOMA JULIUS KAMBARAGE NYERERE !!
 

MWALIMU NYERERE AKIENDESHA BAISKELI mwalimu hakuwa mtu wa majivuno,!!MAGARI ALIO TUMIA NYERERE WAKATI WAKUDAI UHURU WA TANGANYIKA !!!

HII NI NYUMBA ALIO JENGA NA KUISHI NYERERE  RAIS WAKWANZA WATANZANIA ALIISHI HUMU NA KUFIKIA HUMU
 


Mwalimu aliyemfundisha baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere katika shule ya msingi, amesema adhabu pekee ya kukipa Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kuendesha nchi katika mazingira ya rushwa na kutojali wazee ni kukinyima kura katika uchaguzi..2010
Mwalimu huyo, James Irenge, mwenye umri unaokadiriwa kuwa miaka 120,bado yupo akingali hai akiishi kamnyonge wilaya ya musoma mjini mkoani maraHii ni nyumba ya Gavana wa benki kuu BENNO NDULU  kati ya nyumba mbili zilizo gharimu bilioni 5.7,ilizuwa manunguniko mengi kutoka kwa wananchi kutoka na gharama kubwa kupita kiasi.

No comments:

Post a Comment