picture

WELCOME

Sunday, February 6, 2011

VIJANA NA VITA YA umasikini TANZANIA

 HAYUPO ANAE UFURAHIA UMASIKINI mwanadamu wa aina yoyote umri wowo mwenye akili timamu ukimuuliza anapenda nini hata siku moja usitarajie kupata jibu la mtu kupenda umasikini  NENO UMASIKINI niadui ambae  kila mwanadanu awe mzungu mwarabu mhindi hata mwafrica hamkubali na kumkaribisha na akiingia kokote mikakati ya kumwangamiza adu huyu umasikini huanza mara moja na vita hivyo huwa vya kudumu na hadi adui huyu aondoke UMASIKINI huzaa ujinga UMASIKINI huzaa maradhi
 HIKI NI KIWANDA CHA WAJASIRIA MALI WAHUNZI WA VIFAA MBALI MBALI kwajili ya matumizi ya nyumbani mfano majiko ya kupikia vikaangio masufuria makarai NIULINGO WA MAPAMBANO YA VITA DHIDI YA ADUI UMASIKINI..!!..
haya nimajiko ya kupikia yalio tengenezwa na vijana wajasiria mali jijini mwanza hapa niuwanja wa mapambano nivita kali ya umasikini HAYUPO ANAE MPOKEA KWA FURAHA NA KUKUBALI KUISHI NA ADUI UMASIKINI ..!!..
Fundi wa kutengeniza vikaangio vya kukaangia vitumbua..!!...kajiajiri akipiga vita umasikini

No comments:

Post a Comment