picture

WELCOME

Monday, January 10, 2011

UMASIKINI UMEWATAFUNA WAZEE HAWA KIASI CHA KUJIKATIA TAMAA

Mzee Simango na mkewe wakiwa nje ya nyumba yao ya tembe  wazee hawa kwa mwonekano tu utagundua wamekata tamaa ya kuendela na maisha haya ya umasikini wa kutupwa UMASIKINI NIJANGA LINALO LITAFUNA TAIFA LETU LA TANZANIA 

No comments:

Post a Comment