picture

WELCOME

Saturday, January 29, 2011

ELIMU ISIOMKOMBOA MHITIMU NA UMASIKINI IMANI POTOFU NA MAUAJI YA ALBINO siri ipo katika umasikini wa mtanzania..!!..

MIFUGO NISEHEMU YA UTAJIRI
WAKUJIVUNIA TANZANIA LAKINI MBONA JAMII HIZI BADO ZINAISHI KATIKA UMASIKINI WA KUTISHA ..!!..
MIFUGO NISEHEMU YA UTAJIRI
WAKUJIVUNIA TANZANIA LAKINI MBONA JAMII HIZI BADO ZINAISHI KATIKA UMASIKINI WA KUTISHA ..!!..
UMASIKINI UNAPO CHANGIA UHARIBIFU WA UKANDA WA OZONI  kufyekwa kwa misitu ..!!..
 MABADILIKO YA HALI YA HEWA NA  UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI NA UKATAJI KUNI MBAO PAMOJA NA MKAA umasikini hayupo anae ukubali lakini bidha hizi kama mkaa mbao bado zinahitajika kweli..!!..UMEME HAUJA WAFIKIA WATANZANIA % 88 ni %12 wanao tumia mkaa
ELIMU DUNI   UMASIKINI  IMANI ZA KISHIRIKINA CHANZO CHA MAUAJI YA ALBINO NCHINI TANZANIA haishukuru serekali kudhibiti mauaji ya vikongwa na albino LAITI NGUVU HIZI ZILIZO TUMIKA KUWATIA HATIANI WAUAJI WA VIKONGWE NA ALBINO INGETUMIKA kutokomeza mafisadi na kuondoa ujinga umasikini na maradhi kwa watanzania kila mpenda maendeleo angepongeza.. TAIFA HILI LA TANZANIA TAJIRI KWA MALIASILI lakini watanzania masikini sijui kwanini..??..
NALAANI NA NAPINGA MAUAJI YA VIKONGWE NA ALBINO hili halikubaliki kuwa mzee sio kuwa mchawi kuwana macho mekundu sio kuwa mchawi  KUWA MLEMAVU WANGOZI  sio kukosa haki ya kuishi HIZI NIIMANI POTOFU nalaani na kupinga mauaji ya albino na vikongwe NAPIGA VITA UMASIKINI UJINGA  NA MARADHI..umasikini janga la kitaifa tanzania ..!!..

No comments:

Post a Comment