picture

WELCOME

Friday, January 21, 2011

BAADA YA SANGARA KUSINDIKWA KWENDA NJE YA NCHI WATANZANIA WABAKI KULA MAPANKI NDIO WANAMUDU KUYANUNUAKuna baadhi ya sehemu bado mapanki yanaendelea kutumika kama kitowewo ,nilipita maeneo ya mazami nikaona mapanki yakiuzwa...........minofu iende ulaya watanzania waendelee kula mapanki HII IMEKAAJE KISHA Mh mmoja aliwambia watanzania kuwa hakuna mtu alaye mapanki kwakukosa sangara !!

No comments:

Post a Comment