picture

WELCOME

Sunday, February 6, 2011

UMASIKINI ULIOPO VIJIJINI NCHI TANZANIA UNAVYO WAAATHIRI watanzania watoto kwa wakubwa kweli UMASIKINI BADO TISHIO TANZANIA..!!..

Ukiwaangalia watoto hawa na mazingira waliopo utangundua ama niyatima au niwatoto wamoja ya familia masikini na waathirika wa janga la umasikini nchi tanzania  NITAUCHUKIA DAIMA  ujinga umasikini na maradhi NA NITAKUA WAKALA wakuwaangamiza maadui hawa nchini kwangu Tanzania.
 mama huyu  wa huko mkoani tabora yeye na familia yake umasikini ujinga na maradhi nimoja ya matatizo alio nayo katika familia yake UMASIKINI nijanga la kitaifa ndugu jamaa yangu rafiki yangu mtanzania mwenzangu nakuomba ukubali kushiriki katika vita DHIDI YA UMASIKINI TANZANIA
 Ukiwaangalia watoto hawa na mazingira waliopo utangundua ama niyatima au niwatoto wamoja ya familia masikini na waathirika wa janga la umasikini nchi tanzania  NITAUCHUKIA DAIMA  ujinga umasikini na maradhi NA NITAKUA WAKALA wakuwaangamiza maadui hawa nchini kwangu Tanzania.
maji tanzania tatizo lililo kosa ufumbuzi wa kudumu hebu angalia maji haya je ? nihalali yatumike na binadamu..!!..
angalia kijana huyu  HII NIISHARA KUWA hakuna anae ukubali umasikini nchini tanzania..!!..
 WAZEE na Walemavu watanzania nao hawaukubali umasikini hivyo wamebuni  mbinu ya kuomba omba angalau nao waweze kupiga vita umasikini UMASIKINI JANGA LA KITAIFA NCHINI TANZANIA..!!..
 Ukiwaangalia watoto hawa na mazingira waliopo utangundua ama niyatima au niwatoto wamoja ya familia masikini na waathirika wa janga la umasikini nchi tanzania  NITAUCHUKIA DAIMA  ujinga umasikini na maradhi NA NITAKUA WAKALA wakuwaangamiza maadui hawa nchini kwangu Tanzania.

 mwanamke huyu akiwa amepewa msaada na wasamaria wema ili kumwahisha hospitali UMASIKINI nijanga lisilo kubalika katika jamii yoyote
ZAHANATI zinahitajika vijijini nchini tanzania kote ziwena huduma bora wauguzi wakutosha maabara bora na zenye vifaa vya kisasa magari ya wagonjwa LAKINI NCHINI TANZANIA usishangae viongozi kujipongeza kwakupata nyadhifa wakiishi maisha ya kifahari huku watu wakifa kwakukosa dawa mahospitalini wajawazito wakifia njiani kutokana na ubali wa kituo cha afya shule zikiwa hazina vyooo walimu hawapo wakutosha majengo mabovu madawati hakuna vitabu hakuna na kila kanda na mtaala wake  AMAKWELI KUFA KUFAANA TANZANIA viongozi matajiri wananchi masikini wakutisha UMASIKINI WA TANZANIA janga la kupandikizwa NITAUCHUKIA UMASIKINI NA KUUPIGA VITA HADI TONE LA MWISHO LA DAMU YANGU nakataa umasikini ujinga na maradhi sio haki ya watanzania ..!!..

No comments:

Post a Comment