Tuesday, January 18, 2011
UMASIKINI WA TANZANIA ULIVYO ATHIRI MAISHA YA WATU
Tanzania sawa na nchi zingine Africa UMASIKINI UJINGA na MARADHI nisehemu ya maisha ya kila siku kushinda njaa kawaida kugua ndio usiseme akiugua mtu huishia kwenye DUKA LA DAWA BARIDI natiba yake ya kwanza ni PANADOL au AMOXLIN .zamani ilikua ASPIRIN AU QENIN kukosekana kwamavazi bado nitatizo sugu niwachache humudu kunua hata nguo za mtumba viatu nihadhithi ya kale
TAnzania kilimo ndio uti wamgongo wa taifa hili.kwasasa serekali imeanzisha sera ya kilimo kwanza ilikumkomboa mkulima na kilimo cha mkono ilikuboresha kilimo serekali imeanzisha kilimo chakutumia nyenzo za kisasa kama trecta kubwa na ndogo lakini sera hii bado haitafanikiwa bila ya wakulima hawa kupewa elimu ili kulima kisasa ELIMU TATIZO SUGU TANZANIA kilimo kwanza mafanikkio madogo,
Kuni ndio nishati mbadala huko vijijini ,kama anavyo onekana mama huyu akitoka kuchanja kuni,ukataji miti hovyo nichanzo chauharibifu wamazingira vyanzo vya maji hukauka na pia mvua hupungua kutokana na ukataji miti hovyo au uchanjaji kuni hovyo. Je iposiku umeme utafika vijijini au gess??
Watoto nimoja ya hazina ya badae ya taifa lolote.TANZANIA watoto hawajawekewa sera bora ilikuwaandaa kukabiliana na mazingira ya siku zijazo ELIMU inaua vipaji lishe HOVYO afya HOI mavazi duni tizama hawa watoto watano hata hayupo mwenye kiatu mguuni kwake jiulize je wamepata hata chai.!!??
Makaazi duni au nyumba za nyasi maarufu kama nyumba za tembe.NDIO maisha ya watanzania kwaasilimia kubwa ndani ya nyumba hizi hulazwa kuku bata mbuzi kondo na ndama humu ndani kuna viroboto papasi kunguni na funza wadudu hawa huwang'ata watu wanao ishi humo ndani pamoja na mifugo ya nyumba nyingi za hivi hata choo nitatizo hapa maradhi ndio yanako ishi UMASIKINI TANZANIA sera mbovu za wanasiasa MIKATABA mibovu imeathiri kila mfumo nchini tanzania,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment