VYURA WA KIHANSI nimaliasili adimu duniani chura anae zaa na kunyonyesha UTAJIRI NDANI YA MASIKINI umasikini wawatanzania unanisikitisha kweli VIONGOZI MATAJIRI WAKUTISHA WANANCHI MASIKINI ..!!...
DHAHABU KAMA HII INACHIMBWA TANZANIA lakini katika maeneo yalipo machimbo hayo ya dhahabu wananchi NIMASIKINI sana kiasi cha kwamba umasikini unatishia ustawi wafamilia zao .mfano GEITA ..GGM..MKOANI GEITA KAHAMA KAKOLA BULYANG'ULU MKOANI SHINYANGA..umasikini ndani ya utajiri ..!!..
No comments:
Post a Comment