chupa hizo chafu zinazo onekana hapa nisehemu ya ajira ya vijana na hata watu wazima kama anavyo onekana. MAMA JOHA MKAAZI WABUHONGWA JIJINI MWANZA AKIWA NA WAJUKUU WAKE WAWILI NA RAFIKI YAKE MINZA. wazee hawa wanafanya kazi ya kuokota makopo na chupa zingine kwenye majalala na kisha kuziuza kwabei ya shilingi tsh =10 na tsh=20 kwachupa moja au mfuko mzima wa chupa za plastiki kwashilingi tsh=2000. mama joha ndio huyo alie keti upande wakulia.
UJASIRIA MALI WA KUOKOTA CHUPA HIINAYO NIAJIRA TANZANIA kama wanavyo onekana vijana hawa SELE na JUMA
wa jijini mwanza.KAZI NIKAZI HATA KUZOA TAKATAKA BILA VITENDEA KAZI YOTE SAWA TU ajira hakuna kijana huyo ajulikanaye kwajina la mgaya
nimwajiriwa wakampuni yenye tenda ya kuzoa takataka jijini mwanza na mshahara wake ni tsh=1600 kwasikuKAZI NIKAZI BORA MKONO UENDE KINYWANI
HII NIAJIRA BINAFSI YA KUBURUDISHA WATU kwawenyeji wa mkoa wamara WANAITA RITHUNGU vijana hawa walisafiri toka serengeti mkoni mara hadi mwanza kuja kujitafutia vipato
MTATIRO kushoto CHACHA katikati WARYOBA kulia wakiwa kazini wakitumbuiza wapenzi wa muziki wao mziki huu ni waasili la makabila ya wakurya wangoreme washashi na wengine wengi wa mkoa wa mara.
No comments:
Post a Comment