picture

WELCOME

Tuesday, January 25, 2011


Dk. Karl Peters (kati) akiwa na wenzake Dk. Karl
Juhlke na Joachim Graf. Huyu Dk. Karl Peters ndiye aliyewaingiza mkenge
babu zetu wakati wa kuingia ukoloni wa Ujerumani nchini kwa kuingia
katika mikataba ya kilaghai na watawala wetu wa jadi...kama leo viongozi wanavyo ingia mikataba mibovu RICHIMOND DOWANS EPA IPTL TRL TGIS BUZWAGI B...ULIANG'HULU MEREMEATA..!!!...
  
HUU MTI UNAO ONEKANA HAPA NDIO ULIO TUMIKA KAMA NYENZO YA KUNYONGA WATU ENZI ZAUTAWALA WAKIJERUMANI upo mwanza nyerere road jirani na geti la kuingilia benk kuu tawi la mwanza.!!.








Mbwela, Chifu wa Wazigua mkoani Tanga, ndiye aliyekuwa mtawala wa jadi wa kwanza kutia saini mkataba na Dk. Karl Peters mwaka 1884.

No comments:

Post a Comment