picture

WELCOME

Sunday, January 30, 2011

TANZANIA NCHI MASIKINI SANA ETI % 75 YABAJETI YA SERELALI INATEGEMEA WAHISANI ELIMU DUNI AFYA HOVYO UMASIKINI MIONGONI MWA WATANZANIA NIWAKUTISHA alieturoga nani..!!..

TANZANIA KATIKA RAMANI YA KIMATAIFA utajiri wakutisha wananchi masikini wakutupwa viongozi matajiri ..!!..ajabu kweli ukimkuta mtanzania hawezi kumudu hata kununua kiatu elimu duni afya hovyo umasikini wakutisha makaazi duni nyumbaza nyasi na tembe SIAMINI WIMBO HUU WA UMASIKINI WA MTANZANIA ..!!..Where is a Poverty IN TANZANIA  UNITED REPUBLIC.!!.
 TANZANITE made in tanzania.Jumanne Ngoma: Mgunduzi wa tanzanite .. Ngoma, ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 68, ndiye mgunduzi wa madini hayo ambayo kama Serikali ingekuwa makini tangu ayagundue mwaka 1967, yangekuwa yameiweka nchi hii katika ramani nyingine kabisa ya kiuchumiWhere is a Poverty IN TANZANIA  UNITED REPUBLIC.!!.
.
TANZANITE made in tanzania.Jumanne Ngoma: Mgunduzi wa tanzanite .. Ngoma, ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 68, ndiye mgunduzi wa madini hayo ambayo kama Serikali ingekuwa makini tangu ayagundue mwaka 1967, yangekuwa yameiweka nchi hii katika ramani nyingine kabisa ya kiuchumiWhere is a Poverty IN TANZANIA  UNITED REPUBLIC.!!.
.



MISITU NA UOTO WA ASILI TANZANIA utajiri wakujivunia unao fujwa na wajanja wachache
MISITU NA UOTO WA ASILI TANZANIA utajiri wakujivunia unao fujwa na wajanja wachache
MAPOROMOKO YA MILIMA YA UDIZUNGWA nimoja ya vivutio nchini tanzania..
 TANZANIA KATIKA RAMANI YA KIMATAIFA utajiri wakutisha wananchi masikini wakutupwa viongozi matajiri ..!!..ajabu kweli ukimkuta mtanzania hawezi kumudu hata kununua kiatu elimu duni afya hovyo umasikini wakutisha makaazi duni nyumbaza nyasi na tembe SIAMINI WIMBO HUU WA UMASIKINI WA MTANZANIA ..!!..
WAZIRI WA SEREKALI YA AWAMU YA NNE SHAMSA MWANGUNGA SIKU WALIPO KAMATA MAGOGO YAKIWA TAYARI KUSAFIRISWA KWENDA NJE kuchakatwa ..!!..



DHAHABU YAAINA HII INAPATIKANA TANZANIA kwanini wakaazi wa maeneo ilipo migodi mikubwa ya dhahabu tanzania nimasikini HUKU WAMEKALIA UTAJIRI UNAO CHIMBWA NA WAGENI NA KUPEREKA NJE YA tanzania utajiri huo.Where is a
.Poverty IN TANZANIA  UNITED REPUBLIC.!!.



HIKI NIKIATU CHA KIKE kilichonakshiwa kwa VITO vilivyotokana na MADINI YANAYO PATIKANA TANZANIA TU ULIMWENGUNI KOTE yakijulikana kwajina la TANZANITE.!!

.this is a TANZANITE shoe.!!.
GOLD made in tanzania ..!!.Where is a .Poverty IN TANZANIA  UNITED REPUBLIC.!!.
.



TANZANITE rings the tanzanite is made in tanzania..!!.Where is a
.Poverty IN TANZANIA  UNITED REPUBLIC.!!.
.
DIAMOND  available in Tanzania shinyanya mwadui.!!..
.Poverty is a problem in Tanzania.!!..

Where is a .Poverty IN TANZANIA  UNITED REPUBLIC.!!.

 TANZANIA KATIKA RAMANI YA KIMATAIFA utajiri wakutisha wananchi masikini wakutupwa viongozi matajiri ..!!..ajabu kweli ukimkuta mtanzania hawezi kumudu hata kununua kiatu elimu duni afya hovyo umasikini wakutisha makaazi duni nyumbaza nyasi na tembe SIAMINI WIMBO HUU WA UMASIKINI WA MTANZANIA ..!!..

Where is a .Poverty IN TANZANIA  UNITED REPUBLIC.!!.

Where is a .Poverty IN TANZANIA  UNITED REPUBLIC.!!.

Where is a .Poverty IN TANZANIA  UNITED REPUBLIC.!!.
TANZANIA KATIKA RAMANI YA KIMATAIFA utajiri wakutisha wananchi masikini wakutupwa viongozi matajiri ..!!..ajabu kweli ukimkuta mtanzania hawezi kumudu hata kununua kiatu elimu duni afya hovyo umasikini wakutisha makaazi duni nyumbaza nyasi na tembe SIAMINI WIMBO HUU WA UMASIKINI WA MTANZANIA ..!!..

Ol Doinyo Lengai MLIMA WA MUNGU uliopo tanzania ...!!....


Ol Doinyo Lengai is a volcano located in the north of Tanzania and is part of the volcanic system of the Great Rift Valley in Eastern Africa. It is located in the eastern Rift Valley, south of both Lake Natron and Kenya. It is unique among active volcanoes in that it produces natrocarbonatite lava, a unique occurrence of volcanic carbonatite. Further, the temperature of its lava as it emerges is only around 510 °C (950 °F). A few older extinct carbonatite volcanoes are located nearby, including Homa Mountain.

Geology

"Ol Doinyo Lengai" means "The Mountain of God" in the Maasai language of the native people. The record of eruptions on the mountain dates to 1883, and flows were also recorded between 1904 and 1910 and again between 1913 and 1915. A major eruption took place in June 1917, which resulted in volcanic ash being deposited about 48 kilometres away.
A similar eruption took place for several months in 1926 and between July and December 1940, resulting in the ash being deposited as far as Loliondo, which is 100 kilometres away. Several minor eruptions of lava were observed in 1954, 1955, 1958 the early 1960s.
When Ol Doinyo Lengai erupted on August 14, 1966, two geologists — J. B. Dawson and G. C. Clark — who visited the crater a week later, reported seeing “a thick column of black ash” that rose for approximately three thousand feet above the volcano and drifted away northwards towards Lake Natron. When the two climbed the cone-shaped vent, they reported seeing a continuous discharge of gas and whitish-grey ash and dust from the centre of the pit.
Volcanic activity in the mountain caused daily earth tremors in Kenya and Tanzania beginning on July 12, 2007. The latest to hit parts of Nairobi city was recorded on July 18, 2007 at 8.30pm (Kenyan Time). The strongest tremor measured 6.0 on the Richter scale. Geologists suspected that the sudden increase of tremors was indicative of the movement of magma through the Ol Doinyo Lengai. The volcano finally erupted on September 4, 2007, sending a plume of ash and steam at least 18 kilometers downwind and covering the north and west flanks in fresh lava flows. The eruption has continued intermittently into 2008, as of the end of February it was reported that the eruption appeared to be gathering strength, with a major outburst taking place on March 5. During April periods of inactivity have been followed by eruptions on April 8 and 17. Eruptive activity continued until late August 2008. A visit to the summit in September 2008 discovered that lava emission had resumed from two vents in the floor of the new crater. Visits to the crater in March/April 2009 showed that even this activity appears to have ceased..
Whereas most lavas are rich in silicate minerals, the lava of Ol Doinyo Lengai is a carbonatite. It is rich in the rare sodium and potassium carbonates, nyerereite and gregoryite. Due to this unusual composition, the lava erupts at relatively low temperatures of approximately 500-600 degrees Celsius. This temperature is so low that the molten lava appears black in sunlight, rather than having the red glow common to most lavas. It is also much more fluid than silicate lavas, often less viscous than water. The sodium and potassium carbonate minerals of the lavas formed by Ol Doinyo Lengai are unstable at the Earth's surface and susceptible to rapid weathering, quickly turning from black to grey in color. The resulting volcanic landscape is different from any other in the world.

DHULUMA NA UKANDAMIZAJI HUONDOA UVUMILIVU NAUAMINIFU KWA WATU

JIJI la Mwanza jana lilikumbwa na machafuko baada ya machinga kufanya vurugu na kuandamana wakipinga kuondolewa kufanya biashara katika maeneo ya mjini kati. Vurugu hizo zilisababisha kufungwa kwa maduka katika maeneo mbalimbali mjini hapa, kuvunjwa vioo vya magari, maduka na baadhi ya barabara kutopitika kwa muda huku kituo kidogo cha Polisi Pamba, kikinusurika kuvamiwa na kuchomwa moto.
Pamoja na vurugu hizo, serikali mkoani Mwanza imewataka wafanyabiashara hao kuheshimu sheria na kanuni za mipango miji zilizowekwa pia maafikiano yaliyofikiwa baina ya viongozi wao, uongozi wa mkoa na halmashauri ya jiji hilo .Vurugu hizo zilizodumu kwa zaidi ya saa sita, zilianza saa tatu asubuhi baada ya mgambo wa jiji na askari wa kutuliza ghasia kuwatawanya wafanyabiashara hao katika maeneo ya Makoroboi, Mission na Soko Kuu.
Kutokana na hali hiyo, machinga walijikusanya na kuanza kuvamia maduka, magari kabla ya kuandamana saa 4:38 asubuhi hadi katika jengo la ofisi za Halmashauri ya jiji la Mwanza wakishinikiza kutoondolewa katika maeneo hayo.Nje ya jengo hilo , waliweka vizuizi vya mawe katika barabara zote zinazoingia jiji na kulazimisha pikipiki na magari yaliyokuwa yakipita kurudi yalikotoka huku wakiwa na chupa za maji ya kunawa kwa ajili ya kujikinga na moshi wa mabomu iwapo polisi wangewafyatulia mabomu ya machozi.Hali hiyo ilisababisha polisi wa kutuliza ghasia na makachero kuweka ulinzi mkali katika lango kuu la kuingilia jiji hadi viongozi akiwemo Mkurugenzi wa jiji Wilson Kabwe na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro walipofika na kufanya mazungumzo na viongozi wa machinga hao.Baada ya mazungumzo hayo, Kandoro aliwaambia machinga kuwa hapingani na sheria na kanuni za mipango miji kwa kuruhusu machinga wafanye biashara katika maeneo waliyoruhusiwa, isipokuwa wafuate masharti waliyopewa katika maeneo ya Makoroboi, Mirongo, Vitunguu Soko Kuu na Mlango Mmoja.Baada ya kuondoka katika ofisi za halmashauri hiyo, machinga waliingia mitaani tena na kuanza vurugu wakivamia maduka na kuvunja vioo kwa madai kwa wafanyabishara wengine, hawatafanya biashara.Sambamba na kuvamia maduka, walijiandaa kwenda kuvamia Kituo cha Polisi Pamba kwa lengo la kukichoma moto kwa kutumia matairi ya gari kabla ya polisi waliokuwa doria kuwawahi na kuwadhibiti, ambapo walitupa matairi ya moto katika barabara ya Pamba jirani na kituo hicho.Awali, katika vurugu hizo magari T. 541 BHN aina ya Toyota Carina, T. 352 ALF, T.234 ASA na lori aina ya FIAT lenye namba T. 988 AGM, yalipigwa mawe na kulazimishwa kutopita jijini ambapo gari hilo lilivunjwa kioo cha pembeni mbele.Gari lingine lililovunjwa kioo cha nyuma katika eneo la Rwagasore ni T. 400 AHT aina ya Toyota Land Cruiser mali ya mfanyabishara maarufu Mkeshi Vunjabei ambaye baadaye saa 7:52 mchana walivamia duka lake, lakini waliwahiwa na polisi.Barabara zilizokumbwa na vurugu hizo na kutopitika kwa muda huku wafanyabiashara wengine wakifunga maduka yao kuepuka vurugu hizo ni Nyerere, Rwagasore, Rumumba, Uhuru, Makoroboi na Liberty. Hadi jana jioni,

; Mashujaa wetu mtemi Mkwawa, Mirambo, Isike, Makunganya, Mangi Meri, Bwana Heri

Nduna Songea Mbano, muda mfupi kabla ya kuuawa na 
Nduna Songea: Shujaa wa Wangoni aliyewapeleka puta wajerumani..SHUJAA WETU HAKUSALITI JAMAA ZAKE NA UTAWALAWAKE..!!.  HUWEZI kuielezea na kuikamilisha historia ya vita ya Majimaji na ukombozi wa nchi yetu
bila kumtaja shujaa wa kabila la Wangoni, Nduna Songea Mbano ambaye jina lake lilipewa hadhi ya kuuita mji wa Songea kutoka kwenye jina la Ndonde mwaka 1906.
Kiongozi huyo alikuwa ni miongoni mwa wasaidizi ( Nduna) 12 wa Chifu wa kabila la wangoni (Nkosi) chifu Mputa bin Gwezerapasi Gama. Wasaidizi wake wengine walikuwa ni Mgendera Mawaso Gama, Kohongo Magagura, Mputa Mkuzo Gama, Magodi Mbamba Mbano, Mtekateka
Muyamuya Tawete, Fratela Fusi Gama.
Manduna wengine ni Maji ya Kuhanga Komba, Zimanimoto Gama, Mpambalyoto Soko
Msalawani, Mtepa Hawaya Gama na Nduna Mkomanile ambaye alikuwa ni mwanamke pekee
kuwa nduna.
Nduna Songea Mbano alikuwa maarufu kuliko manduna wenzake na hata chifu Mputa Gama alikuwa anamtegemea sana katika kuwaongoza manduna na wapiganaji wa vita ya Majimaji kiujumla.
Mhifadhi kiongozi wa Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Songea, Philipo Maligissu
akizungumzia maisha ya Nduna Songea Mbano katika viwanja vya Makumbusho hayo, anasema kuwa Nduna Songea Mbano weledi ndio uliompa umaarufu sana.
Kutokana na weledi na ushadi wake, aliwazidi wenzake 11 katika mbinu za kuandaa mikakati ya kivita, kutoa uamuzi mzito pasi na kutetereka na kusimamia utekelezaji wake kikamilifu.
Kwa umakini mkubwa, Nduna Songea Mbano aliweza kufanya kile alichokuwa akikiamini na uthibitisho wa jambo hilo ulianza kujitokeza Julai 12, 1897 katika viwanja vya Bomani kwa mkuu wa Wilaya wa Wajerumani, Luteni Engelhardt.
Maligissu anasema rekodi zilizopo zinaonesha kuwa tarehe hiyo Nduna Songea Mbano, alionekana kuwa ni mtu wa kipekee katika idadi ya manduna 11 ambao walikuwa wasaidizi
wa Chifu Mputa Gama kwa kitendo chake cha kubisha wazi wazi tamko la utawala mpya wa Wajerumani la kutaka Wangoni wakomeshe biashara ya utumwa.
Siku hiyo ilikuwa ni rasmi ambayo utawala wa kikoloni ulikuwa unaanzishwa katika mji wa Songea, wakati huo ukiitwa Ndonde na Mkoa wa Ruvuma kiujumla ukiwa chini ya Luteni
Engelhardt aliyekuwa Mkuu wa Jeshi Kanda ya Kusini.
Wajerumani walipofika kuanzisha makoloni yao katika maeneo ya ukanda wa kusini walikutana na msuguano mkubwa kutoka kwa tawala za Kiafrika, hasa tawala za Wangoni.
Maligissu anasema kuwa Wangoni walikuwa na tabia ya kwenda mikoa ya Lindi na Mtwara
kuvamia, kuchukua mateka na kuwapeleka Songea kuwafanyisha shughuli mbalimbali katika maeneo yao ya utawala wao.
Tabia hiyo ya Wangoni iliwachukiza sana Wajerumani, kwani walikuwa wanaheshimu sana makubaliano yaliyofikiwa kutoka kwenye mkutano wa Berlin wa 1884 /85.
Katika mkutano huo moja ya makubaliano ni na kila nchi yenye koloni barani Afrika ikomeshe biashara ya utumwa, hasa ikizingatiwa kwamba Wajerumani walikuwa wamejiimarisha sana.
Hivyo walipofika Ruvuma wakatoa tamko kwa Wangoni kuwa hairuhusiwi na haitaruhusiwa tena kwenda Lindi, Mtwara au kokote kuchukua mateka na kwamba mateka wote waliochukuliwa na Wangoni waachiwe huru.
Baada ya Wajerumani kutoa tamko hilo, ndipo Nduna Songea Mbano alipojitokeza waziwazi
na kusimama kujibu hoja iliyotolewa na Wajerumani kuhusu tamko hilo.
Nduna Songea Mbano alisema kuwa utawala wa kabila la Wangoni hauwezi kutekeleza tamko hilo na kwamba msimamo wao ni kutoutambua utawala mpya wa Kijerumani na tamko lao.
Kwamba ujio wa Wajerumani na tamko lao kwa Wangoni vililenga kudhoofisha utawala wa machifu na manduna katika maeneo yao kwa kufuata kanuni zao za kimila na kitamaduni.
Kuanzia hapo Wajerumani walimwona Nduna Songea Mbano kuwa ni mtu hatari sana katika utawala wao mpya, hivyo kumweka alama maalumu na kuanza kumfuatilia nyendo zake.
Alionekana kuwa kiongozi shupavu mwenye misimamo mikali na anayezingatia heshima na utu wa kabila lake bila kuyumbishwa. Alionekana kuwa pekee mwenye uwezo mkubwa wa kufanya kazi katika mazingira yoyote kwa kushirikiana na wananchi wake ambao walikuwa
wanamheshimu sana na kumsikiliza.
Maligissu anaeleza kuwa Nduna Songea Mbano alikuwa na uwezo mkubwa wa kuwaunganisha
wananchi wake na kuwa na umoja, upendo na mshikamano na kwamba alikuwa akiwaelekeza jambo wanalifanya kwa umakini na kwa ukamilifu.
Nduna Songea Mbano aliendelea kujizolea umaarufu mkubwa na baada ya kutamka kuwa yupo tayari kwa lolote lile na hawezi kukubali kuona tawala za Kiafrika zinadharauliwa na wakoloni kwa namna yeyote ile.
Wajerumani wakaamua kuwaalika machifu na manduna wote Julai 13, 1897 Bomani kwa mkuu wa wilaya na kuwaambia kuwa mtu yeyote katika eneo lake atakayekaidi amri yoyote kutoka kwa uongozi mpya wa Wajerumani atapigwa risasi, kunyongwa hadi kufa au kufungwa maisha.
Siku hiyo hiyo machifu na manduna walichukuliwa hadi juu ya mlima wa shabaha wa Chandamari, katikati ya mji wa Songea na kuoneshwa nguvu ya risasi inavyoweza kufanya kazi
katika mwili wa binadamu na kwamba silaha za kijadi na kimila za Wangoni hazingeweza kufua
dafu mbele ya silaha hizo.
Licha ya Wajerumani kutoa vitisho vingi, Nduna Songea aliendelea na msimamo wake wa awali wa kuchukia na kuupinga utawala wa Wajerumani na kuutetea utawala wa Kiafrika mpaka ilipokuja kutokea Vita ya Majimaji.
Nduna Songea alitoa ushindani mkubwa sana katika vita hivyo na kuonesha ustadi mkubwa kwenye mapigano na katika sehemu zote ambazo Wajerumani walipigana, wameandika kuwa hawakupata ushindi mkubwa kama waliopata katika mkoa wa Ruvuma, zamani nchi ya Ungoni.
Viongozi wao hawakuwa wanafiki, kwani walijitoa kikwe likweli kusaka ukombozi na hadhi ya tamaduni zao mpaka dakika ya mwisho. Ndio maana idadi kubwa ya watu walionyongwa katika historia ya Tanzania walitoka katika himaya ya Nduna Songea Mbano na ushahidi upo wazi kuwa watu 67 walihukumiwa kunyongwa hadi kufa, akiwamo Nduna Songea Mbano.

Katika kuonesha kuwa Nduna Songea alikuwa na uwezo wa kufanya mambo kwa weledi mkubwa bila kusaliti dhamira yake kuanzia mwaka 1897 aliandaa jeshi lake la kupambana na utawala wa Wajerumani.
Akaanza kuchukua watu wake na kuwapeleka juu ya mlima wa Chandamari kufanya nao mkutano, kutoa mafunzo ya kivita na kuwaelekeza kwa nini Wajerumani wachukiwe.
Katika mlima huo ndipo alipoeleza kwa kina madhara ya kuukubali utawala wa Wajerumani
na kutoa ahadi kwa wananchi wake ya kuwaondoa Wajerumani kwa lazima na kuwa eneo hilo ni la Wangoni, wamekuwa wakiishi siku zote chini ya utawala wao, hivyo haiwezekani wapelekewe utawala mpya wakati hawauhitaji.
Chokochoko hizo zilizaa vita vya Majimaji na wakati mapigano yakiendelea Wajerumani walianza kumtafuta Nduna Songea ili wamkamate na kufanya naye mazungumzo ya maridhiano.
Kumbe Songea Mbano alikuwa amejificha kwenye pango kubwa lililopo kwenye mlima wa Chandamari na usiku alikuwa akikutana na askari wake nje ya pango hilo na kuwapa mafunzo zaidi ya kivita.
Maligissu anaeleza kuwa Nduna Songea alikuwa anaishi na ndugu zake katika eneo la Mateka, leo hii manispaa ya Songea na wakati wa vita ndipo Songea Mbano alikuwa anajificha katika pango hilo ili wasimkamate mpaka atakapotimiza malengo yake.
Wajerumani walipoona wanaendelea kupata madhara makubwa kutokana na vita hivyo, waliamua kuwakamata ndugu na familia yake, Chifu Mputa Gama na manduna wengine na kuwafunga gerezani kwa lengo la kumdhoofisha Nduna Songea.
Baada ya Wajerumani kumdhoofisha Nduna Songea alipata taarifa zote na akaamua kutoka
kwenye pango hilo na kwenda kwa Wajerumani na kutaka watu wake waachiwe ili mapigano yaendelee.
Ndipo naye alipokamatwa na kuswekwa gerezani na Wajerumani wakawahukumu wafungwa
hao kunyogwa hadi kufa.
Wafungwa hao waliamriwa kuchimba shimo kubwa bila kujua ndilo lingekuwa kaburi lao na ilipofika siku ya kifo chao, walinyongwa kwa zamu kwa muda wa siku mbili na maiti zao kuwekwa kwenye kaburi hilo hadi walipofikia 66 ndipo walizikwa kwa pamoja.
Walimwacha Nduna Songea Mbano ili awasaidia kutimiza malengo yao kwa wananchi, kwani waliamini akiwa kiongozi jasiri na anayependwa na watu wake angesikilizwa vizuri.
Tangu siku hiyo walipomwacha bila kumnyonga, Nduna Songea aliwasumbua Wajerumani na kutaka naye anyongwe kama ndugu zake, kwani hakuona sababu ya yeye kuishi wakati ndugu zake alishauawa; akasema wasipomnyonga angegoma kula na kunywa chochote mpaka afariki dunia.
Ndipo Wajerumani walipoamua kumnyonga na kumzika katika kaburi la peke yake, wakiamini kuwa ni mtu wa pekee mwenye ushujaa, uamuzi mzito na msimamo usioyumba. Walimuenzi kwa kubadilisha jina la mji wa Ndonde na kuubatiza jina la Songea, ambapo mpaka sasa linatumika kuuita mji huo wenye hazina kubwa ya historia na utalii wa kitamaduni. Mwandishi wa makala haya anapatikana kwa simu; 0755335051
            MKWAWA Chief Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga  more commonly known as Chief Mkwawa, was a Hehe tribal leader in German East Africa (now mostly the mainland part of Tanzania) who opposed the German colonisation. The name "Mkwawa" is derived from Mukwava, itself a shortened form of Mukwavinyika, meaning "conqueror of many lands". Mkwawa was born in Luhota and was the son of Chief Munyigumba, who died in 1879.
In July 1891, the German commissioner, Emil von Zelewski, led a battalion of soldiers (320 askaris with officers and porters) to suppress the Hehe. On 17 August, they were attacked by Mkwawa's 3,000-strong army at Lugalo, who, despite only being equipped with spears and a few guns, quickly overpowered the German force and killed Zelewski.
On 28 October 1894, the Germans, under the new commissioner Colonel Freiherr Friedrich von Schele, attacked Mkwawa's fortress at Kalenga. Although they took the fort, Mkwawa managed to escape. Subsequently, Mkwawa conducted a campaign of guerrilla warfare, harassing the Germans until 1898 when, on 19 July, he was surrounded and shot himself rather than be captured.
After his death, German soldiers removed Mkwawa's head. The skull was sent to Berlin and probably ended up in a Bremen museum. In 1918 the then British Administrator of German East Africa H.A. Byatt proposed to his government that it should demand a return of the skull to Tanganyika in order to reward the Wahehe for their cooperation with the British during the war and in order to have a symbol assuring the locals of the definitive end of German power. The skull's return was stipulated in the 1919 Treaty of Versailles:
"ARTICLE 246. Within six months from the coming into force of the present Treaty, ... Germany will hand over to His Britannic Majesty's Government the skull of the Sultan Mkwawa which was removed from the Protectorate of German East Africa and taken to Germany."
The Germans disputed the removal of the said skull from East Africa and the British government took the position that the whereabouts could not be traced.
However, after World War II the Governor of Tanganyika, Sir Edward Twining, took up the issue again. After enquiries he was directed to the Bremen Museum which he visited himself in 1953. The Museum had a collection of 2000 skulls, 84 of which originated from the former German East Africa. He short-listed the ones which showed measurements similar to surviving relatives of Chief Mkwawa; from this selection he picked the only skull with a bullet-hole as the skull of chief Mkwawa.
The skull was finally returned on 9 July 1954, and now resides at the Mkwawa Memorial Museum in Kalenga, near the town of Iringa.
  chini ni mtemi mirambo..!!..

 
Mirambo  was a Nyamwezi warlord, from 1860 to 1884. Mirambo started out as a trader, and owned trade caravans traveling from the Great Lakes region in western Tanzania to the coast, mostly dealing with ivory and slaves. Through trade with Europeans he acquired firearms and money, and organised armies consisting mostly of teenage orphans. With his newly gained power, he toppled the traditional monarchy of the kingdom Urambo, and installed himself as ntemi (king). The Nyamwezi aristocracy was appalled when someone who was not royalty took over the religiously ceremonial office of ntemi.
Apart from the Nyamwezi aristocracy, Mirambo also was an enemy of the trading community of Tabora in the kingdom of Unyanyembe. Many of the inhabitants of Tabora were Arab traders, and rivals of Mirambo for the control of the trade across Unyamwezi. These Arabs had powerful allies in Zanzibar on the coast. For most of his time as mtemi, Mirambo fought wars against his enemies. By the time of his death, he had united most of northern Unyamwezi in an alliance under his leadership, but he never managed to conquer Tabora. Near the end of his life he grew ill, and died, age 44. It is possible that he was strangled to death, since an old Nyamwezi custom was to strangle their mtemi when they became unfit to rule.
He was notable for opposing the Arab allies of Henry Morton Stanley. Stanley dubbed Mirambo "the African Bonaparte" for his military talents.KATIKA KUNDI LA MASHUJAA NA WASALITI NILAZIMA WAPO KAMA YUHU JAPO YEYE HAKUWANA ELIMU mbona hawa viongozi watanzania elimu wanayo kwanini wanalisaliti taifa lao wakiporamali kwa kushirikiana na wageni huku wananchi watanzania wakibaki katika umasikini wakutisha.!!..Mbwela, Chifu wa Wazigua mkoani Tanga, ndiye aliyekuwa mtawala wa jadi wa kwanza kutia saini mkataba na Dk. Karl Peters mwaka 1884..

Saturday, January 29, 2011

ELIMU ISIOMKOMBOA MHITIMU NA UMASIKINI IMANI POTOFU NA MAUAJI YA ALBINO siri ipo katika umasikini wa mtanzania..!!..

MIFUGO NISEHEMU YA UTAJIRI
WAKUJIVUNIA TANZANIA LAKINI MBONA JAMII HIZI BADO ZINAISHI KATIKA UMASIKINI WA KUTISHA ..!!..
MIFUGO NISEHEMU YA UTAJIRI
WAKUJIVUNIA TANZANIA LAKINI MBONA JAMII HIZI BADO ZINAISHI KATIKA UMASIKINI WA KUTISHA ..!!..
UMASIKINI UNAPO CHANGIA UHARIBIFU WA UKANDA WA OZONI  kufyekwa kwa misitu ..!!..
 MABADILIKO YA HALI YA HEWA NA  UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI NA UKATAJI KUNI MBAO PAMOJA NA MKAA umasikini hayupo anae ukubali lakini bidha hizi kama mkaa mbao bado zinahitajika kweli..!!..UMEME HAUJA WAFIKIA WATANZANIA % 88 ni %12 wanao tumia mkaa
ELIMU DUNI   UMASIKINI  IMANI ZA KISHIRIKINA CHANZO CHA MAUAJI YA ALBINO NCHINI TANZANIA haishukuru serekali kudhibiti mauaji ya vikongwa na albino LAITI NGUVU HIZI ZILIZO TUMIKA KUWATIA HATIANI WAUAJI WA VIKONGWE NA ALBINO INGETUMIKA kutokomeza mafisadi na kuondoa ujinga umasikini na maradhi kwa watanzania kila mpenda maendeleo angepongeza.. TAIFA HILI LA TANZANIA TAJIRI KWA MALIASILI lakini watanzania masikini sijui kwanini..??..
NALAANI NA NAPINGA MAUAJI YA VIKONGWE NA ALBINO hili halikubaliki kuwa mzee sio kuwa mchawi kuwana macho mekundu sio kuwa mchawi  KUWA MLEMAVU WANGOZI  sio kukosa haki ya kuishi HIZI NIIMANI POTOFU nalaani na kupinga mauaji ya albino na vikongwe NAPIGA VITA UMASIKINI UJINGA  NA MARADHI..umasikini janga la kitaifa tanzania ..!!..
Mh spika tanzania nchi masikini sana katika ukanda huu wa africa.!!.. HEBU ANGALIA POSHO ZA WABUNGE  tanzania .WATANZANIA UMASIKINI WA NCHI YENU UPO WAPI ..!!..mnavaa yeboyebo viongozi matajiri wao utajiri wao wameutoa wapi..!!
VYURA  WA KIHANSI  nimaliasili adimu duniani chura anae zaa na kunyonyesha UTAJIRI NDANI YA MASIKINI umasikini wawatanzania unanisikitisha kweli VIONGOZI MATAJIRI WAKUTISHA WANANCHI MASIKINI ..!!...
DHAHABU KAMA HII INACHIMBWA TANZANIA  lakini katika maeneo yalipo machimbo hayo ya dhahabu wananchi NIMASIKINI sana kiasi cha kwamba umasikini unatishia ustawi wafamilia zao .mfano  GEITA ..GGM..MKOANI GEITA KAHAMA KAKOLA BULYANG'ULU MKOANI  SHINYANGA..umasikini ndani ya utajiri ..!!..

NIUMASIKINI NDANI YA NCHI YENYE UTAJIRI WAKUTISHA DUNIANI



HUYU NI MHITIMU WA DARASA LA SABA NCHINI tanzania hii ndio ajira yake inayo mpa kipato chakila siku..!!..
Hebu angalia kiatu alichovaa huyu mtanzania kweli umasikini tishio kwajamii ya kitanzania VITA DHIDI YA UMASIKINI VILIANZA MIAKA MINGI HATA KABLA YA UHURU WATANGANYIKA najiuliza mbona nimiaka mingi sasa toka kuumbwa kwadunia watu hawakuwahi kuishi kwa usawa hapa duniani wakati wengine wakishiba wengine wanalala njaa je huu nimpango wamungu kuwepo kwa tabaka lachini na tabaka lakati na la juu UMASIKINI JANGA LA KUPANDIKIZWA TANZANIA.!!..

KIJANA AKIWAJIBIKA KAZI MAANA YAKE NIKAZI YOYOTE INAYO WEZA KUMPA MTANZANIA KIPATO KWAJIA YA HALALI HAKUNA KANUNI YA MAISHA NCHINI TANZANIA elimu ya darasa la saba haina nafasi tena kupata kazi nzuri au kukufikisha popote tanzania  vijana sikuhizi wakisema SHULE NIMEPITAPITAKIDOGO LAKINI ELIMU HAINISAIDII KITU.!!..umasikini tanzania janga la kupandikizwa na mfumo mbovu wa elimu..!!..
mfumo mbovu wa elimu uliopandikiza umasikini miongoni mwa watanzania VIONGOZI WAKIISHI KAMA WAFALME WANANCHI MASIKINI nchi tajiri wananchi masikini SIASA INACHEZWA NDANI YA UMASIKINI WA WATU..!!..
HEBU ANGALIA MALIASILI YA TANZANIA 
HEBU ANGALIA MALIASILI YA TANZANIA 
HEBU ANGALIA MALIASILI YA TANZANIA 
HEBU ANGALIA MALIASILI YA TANZANIA 
HEBU ANGALIA MALIASILI YA TANZANIA 
 HEBU ANGALIA MALIASILI YA TANZANIA 

HEBU ANGALIA MALIASILI YA TANZANIA 






UMASIKINI WA MTANZANIA UNATOKA WAPI ..!!..